Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

Burudani Moyoni Neema Gospel Choir, AICT Chang’ombe

Image By Mood Converter
Spread the love

lyrics by Burudani Moyoni Neema Gospel Choir, AICT Chang’ombe

Pangusa machozi yako Futa mavumbi,

shangilia Amekuja mtetezi wako

Msaada kwa walio na shida Pangusa machozi yako Futa mavumbi,

shangilia Amekuja mtetezi wako

Msaada kwa walio na shida Uwezo wa kifalme,

u mabegani mwake Ameibeba amani yako wewe

Uzima wa milele furaha na tumaini

Mimi nawe tuwe nayo milele Uwezo wa kifalme,

u mabegani mwake Ameibeba amani yako wewe

Uzima wa milele furaha na tumaini Mimi

nawe tuwe nayo milele

Tuwe nayo tele Amani na uzima Tumaini lote

Yesu ndiye yote Pangusa (pangusa) machozi yako

(pangusa)

Futa mavumbi, shangilia (Amekuja)Amekuja

(amekuja) mtetezi wako Msaada kwa walio na

shida (Pangusa machozi) Pangusa machozi yako Futa mavumbi,

shangilia (Amekuja)

Amekuja (amekuja Yesu) mtetezi wako

Msaada kwa walio na shida (Ukimpa, ukimpa)

Ukimpata Yesu moyoni (moyoni)

Moyoni (moyoni) moyoni mwako

Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote

(utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa)

Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote

(utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa) Ukimpata Yesu moyoni

(moyoni) Moyoni (moyoni) moyoni mwako Yesu atakufanya

wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote) (Ukimpa, ukimpa)

Yesu atakufanya wake yeye Utasahau shida zote (utasahau shida zote)

Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi

Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo

Burudani (burudani) moyoni (moyoni) (Sina) Sina wasiwasi

Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni (moyoni)

(Sina) Sina… Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni)

Akufanye upya moyo wako (akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu)

Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) Akufanye upya moyo wako

(akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu) (Mpokee yesu)

Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) Akufanye upya moyo wako

(akufanye) Uwe na amani (mpokee Yesu)

Mpokee Yesu na wewe moyoni (moyoni moyoni) (Akufanye)

Akufanye upya moyo wako (akufanye)

Uwe na amani Burudani, burudani, burudani Burudani

(burudani) moyoni (moyoni)

Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani) moyoni

(moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo Burudani (burudani)

moyoni (moyoni) Sina wasiwasi Yesu yupo

Burudani (burudani) moyoni (moyoni)

Sina wasiwasi Yesu yupo

lyrics by claudine


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist