Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

CHA KUTUMAINI SINA by Martha Mwaipaja

Image By Mood Converter
Spread the love

lyricrs for CHA KUTUMAINI SINA by Martha Mwaipaja

 1. Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
  Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha
 2. Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama
  Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama
 3. Damu yake na sadaka, nategemea daima
  Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha.
 4. Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu
  Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga
 5. Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani
  Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake

lyrics by claudine


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist