Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

Chacun pour soi by Papa Wemba (feat. Diamond Platnumz)

Image By Mood Converter
Spread the love

Lyrics for Chacun pour soi by Papa Wemba (feat. Diamond Platnumz)

Motema ezo lela est ce que ozo yoka nga
Mawa na nga pe pinzoli eh

Mboka nini na kende epayi ya nga, Nakeyi Dar-Es-Salaam

Kolela na nga eleki ya moto mohumbu oya azangaki liberté

Kuna kuna na Zanzibar

Alfajiri huwa ni kitendawili
Nafikiri pindi tukiwa wawili
Tena nakiri inanitesa mwili
Bora tu niache

Chacun pour soi eh, mélodie na nga

Chacun chez soi ehChacun pour soi eh,

mélodie na nga

Chacun pour soi eh

Ukweli roho inanisonona
Tena moto hadi sijapona
Ila naamini Mola ataniona
Nitakuja pata wakuniponya
Ila tu chonde ma nikuombe
Usiniseme vibaya
Tena nakuombea kuongezewa
Kwa Mola mwaya

Alfajiri huwa ni kitendawili
Nafikiri pindi tukiwa wawili
Tena nakiri inanitesa mwili
Bora tu niache
Nibaki mwenyewee

Chacun pour soi eh, mélodie na nga
Chacun chez soi eh
Chacun pour soi eh, mélodie na nga
Chacun pour soi eh

Aah chacun soi ehTucheze rumba
Tena taratibu na mtumba
Twapenda rumba
Wote na marafiki wa kunyumba
Cheza rumba
KINSHASA
Tobina rumba
NAIROBI
Cheza rumba
BRAZZAVILLE
Tobina rumba
Cheza rumba
ABIDJAN NA YAOUNDE
Tobina rumba
NA COTONOU LOME
Mambi na mwana Africa
Rumba ya bana mboka

Lyrics by Laurent


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist