Chekecha Cheketua by Alikiba

Image By Mood Converter

lyrics for Chekecha Cheketua by Alikiba

Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani

Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekechaChekecha Aya chekecha cheketua

Cheke chekecha cheketua
Cheke chekesha cheketuaCheke chekesha

cheketua chekeMasia Uluso kitaa Abu Daddy
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia

Tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia
Nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha Aya chekesha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekesha cheketua
Cheke chekesha cheketua cheke
Yeah uuh cheke chekecha aah heyiiii

lyrics by theogene

Leave a Reply

Your email address will not be published.