I Miss You by Diamond

Image By Mood Converter

Lyrics for I Miss You by Diamond

Hello! Napo vipi sijui unanisikia?
Hello! Nnamaneno natamani kukwambia
Hello! Tafadhali usije nikatia
Hello! Ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani leo nmekumbuka sana
Na mama yani twakuwazagaa
Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana
Na aunty Shani wa chimwagaa ah ah
Kile kidonda changu cha roho bado kinatia tabu
Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu
Tena silali oh nasubiri maajabu
Maumivu yangu ayajapata dawa…I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh…
I miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehNa roho yangu mama (bingili bingili)
Ah nikikuwaza (bingili bingili)
Nikisinzia (bingili bingili bayoyo)
Oh nikilala (bingili bingili)
Inama inuka uwoh (bingili bingili)
Yani sina raha (bingili bingili bayoyo)Ah iyeeeh ah iyeeeh
Tatizo kwetu sijui nini kosa langu
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
Nawaza ila siambui ama shida zangu
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia
Ndio maana haukutaka kusubiria
Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
Chai mchana usiku dona kurumaghia
Nilitamani sana ila nguvu yangu palinishiaNingalikua na uwezo ningekutimizia
Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh
Nakumkumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka sanaOoh… I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyehNa roho yangu mama (bingili bingili)
Ah nikikuwaza (bingili bingili)
Nikisinzia (bingili bingili bayoyo)
Oh nikilala (bingili bingili)
Inama inuka uwoh (bingili bingili)
Yani sina raha (bingili bingili bayoyo)Ata nikila (bingili bingili)
Nikikuwaza (bingili bingili)
Nikilala heeh (bingili bingili bayoyo)
Ona roho mama (bingili bingili)
Ah nikikuwaza (bingili bingili)
Nikisinzia (bingili bingili bayoyo)

Heeeh! Roho yangu mama (bingili bingili)
Heh heh heeh! (Bingili bingili)
Heh heh heeh! (Bingili bingili bayoyo)
Oooh roho yangu mama (bingili bingili)
Inama inuka uwoh (bingili bingili)
Chibu sina raha (bingili bingili bayoyo)
Ah ata nikila!

Lyrics by Innocent

Leave a Reply

Your email address will not be published.