MAPENZI YANA RUN DUNIA by ALI KIBA

Image By Mood Converter

lyrics by MAPENZI YANA RUN DUNIA by ALI KIBA

Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh

Fikira zako ziko vibaya kwa kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
Haya ulofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
Mimi na yeye
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
Kwa nini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda, huwa… kapenda kweli

Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run duniaaaa

Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run duniaaaa

lyrics by theogene

Leave a Reply

Your email address will not be published.