Muhukumu wa haki by Martha Mwaipaja

Image By Mood Converter

Lyrics for Muhukumu wa haki by Martha Mwaipaja

Parapanda itapigwa, itapigwa
Parapanda itapigwa, itapigwa
Parapanda itasika, itasikika
Parapanda itasika, itasikika

Hapo ndipo mfalme wa haki
Atakapotawala
Hapo ndipo mfalme wa kweli
Atakapotawala
Maana dunia ya leo
Watu wanapendeleana
Maana dunia ya leo
Watu wanapendeleana

Atatawala mwenye dunia
Atatawala mwenye watu wake
Maana dunia ya leo
Watu wanapendeleana
Maana dunia ya leo
Watu wanapendeleana

Hapo ndipo falme zote
Za dunia zitanyamaza
Mwenye wa kweli atawala
Atasimamia manhakama
Zote kwa haki
Atasimamia kesi zote kwa haki
Kila mmoig atalinowa sawa

Dunia yote itatiisnwa
Kwenye uweza wake
Dunia yote itashangaa
Alivyo wa haki
Mataifa watajua yeye ni mwema

Hapo ndipo wote tutajua
Kwamba yeye ni Baba
Dunia yote itaelewa
Ni mhukumu wa haki
Maana dunia ya leo
Watu wanasaidiana
Maana dunia ya leo
Watu wanasaidiana

Atatawala asiyejua
Pendelea mwingine
Watu wa leo wanatazama sifa ya mtu

Majira yanakuja ya kujua
Baba wa kweli
Majira yanafika watamjua
Mungu wetu
Leo hawatambua machozi tunayolia
Leo hata ukilia hakuna wa kutazama
Hata ukiteswa hakuna wa kutazama
Wakati unakuja Baba
Atatawala kwa haki Hapo ndipo falme zitajua
Yeye ni mfalme
Hapo ndipo dunia itaelewa
Yeye ni Bwana
Tutapanguzwa machozi
Yetu na sisi
Tutapanguzwa machozi
Yetu na sisi
Tutaheshimiwa na dunia na sisi
Tutaheshimiwa na
Wwatu wote na sisi

Hawawezi tambua
Haki yako leo hii
Maana dunia ya leo
Watu wanasaidiana
Hakuna wa kutetea maisna yako
Maaana tawala za leo
Wanapendeleana
Anakuja mtawala wa haki
Kutusaidia
Anakuja mtawala wa haki
Kutusaidia

Utafurahi na Baba
Tutashangilia kwa Baba
Maana falme wake Baba
Itakuwa ni yenye haki
Maana falme wake Baba
Itakuwa ni yenye haki
Baba yetu atawala aah haa

lyrics by claudine

Leave a Reply

Your email address will not be published.