Naiona Kesho by Martha Mwaipaja

Image By Mood Converter

lyrics for Naiona Kesho by Martha Mwaipaja

Naiona kesho kesho Iliyopangwa na baba Naiona kesho kesho

Iliyopangwa na mungu Naiona kesho mimi kesho

iliyopangwa na baba Kesho ya heshima aah

Iliyopangwa na baba kesho ya Neema

iliyopangwa na baba Kesho yenye utukufu

iliyopangwa na Baba kesho ya kuinuliwa

iliyopangwa na baba Kesho ya ushindi ii

iliyopangwa na mungu Kesho yenye nguvu

iliyopangwa na baba Sitaki kuitazama

Leo yangu mwenzenu

Leo yangu ni shida. Mwenzenu

Leo yangu ni tabu mwenzenu

Leo machozi yanitoka aah mwenzenu L

eo nimekataliwa aah mwenzenu

Leo nimefukuzwa mapema mwenzenu

Leo wote waniacha aah mwenzenu

Leo machozi ni mengi hii mwenzenu Sitaki kuitazama

Leo yangu kamwe Sitaki kuitazama

Leo yangu mm

Leo yangu ninalia mwenzenu

Leo ninateseka aah mwenzenu

Leo mateso ni mengi hii mwenzenu

Naiona kesho yangu mwenzenu x 2

Japo vita yangu ni kubwa mwenzenu

Maadui wangu ni wengi mwenzenu

Japo mateso yangu ni magumu

mwenzenu Kuna neno amesema nami mwenzenu

Atapigana aah amesema

Atafanya mlango ooh amesema

Atanifanyia wepesi amesema Japo vita yangu

kubwa mwenzenu Japo adui ni wengi mwenzenu

Japo njia siioni mwenzenu

Atapigana mwenyewe amesema

Atafanya wepesi iiih amesema

Atanifanyia wepesi kwani amesema

Atanichunga salama mh amesema

Atafanya mlango ooh amesema

Atapigana na adui aah amesema

Kasema niione kesho aliyoniwekea ×2

Kuna majira yalifika nikajua mungu

Kuna majira yalifika nikamwelewa

Majira Yale yalikuwa magumu ×2

Kwa macho yangu nikaona akitenda ×2

Akasema mwanangu nakupenda ×2

Usiitazame Leo yako mwanangu ×2

Mbona mimi ni mungu nikupendaye ×2

Ni kweli kwa macho ya nyama

Mimi nimechoka wengi wanitazamapo kweli

Nimeshindwa Wengi wanionavyo k

weli nimeshindwa Kweli kwa mbio za Mimi

nimechoka Kweli kwa mwendo wangu nimeshindwa

Kwa macho ya nyama nimechoka

Kwa macho ya watu nimeshindwa

Lakini hakuna hata mmoja.

Anayejua Patano langu na mungu Lakini

hakuna hata mmoja anayejua nimepatana nini

Tumepatana na Baba hataniacha

Hata nikisukwa sukwa sitamuacha

Hata nikilia nisimuache

Hata nikiteseka aah nisimwache

Tumepatana na baba Nimepatana na baba × 3

Naiona kesho yangu iliyonjema haa

Naiona kesho iliyonjema haa .

Mwenzenu Naionaaaa kesho Naiona

kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya heshima)

Naiona kesho kesho iliyopangwa na mungu (kesho ya Neema)

Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya kufanikiwa)

Kesho ya heshima aah, kesho ya utukufu iliyopangwa na baba

Kesho ya heshima (ya heshima yangu na Mimi)

Iliyopangwa na mungu (kesho ya wote kumjua mungu wanguuu)

Kesho ya heshima iliyopangwa na baba Kesho ya ushindi iliyopangwa na mungu Kesho ya utukufu wangu iliyopangwa na baba Kesho × 3

lyrics by claudine

Leave a Reply

Your email address will not be published.