Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

NI WEWE MUNGU by Japhet Zabron

Image By Mood Converter
Spread the love

Lyrics for NI WEWE MUNGU by Japhet Zabron

Wengine ni vijijini Wengine mjini, ndiko tulikozaliwa Maisha ya chini, tulichunga kondoo Yaani kama vile Musa Na Dunia ina mengi Mda inatisha si rahisi nitoboe Uliingilia kati Salama nivuke hata nikafika hapa (Chorus .) Pumzi,uhai Huyu ni Mungu Cheo na elimu Ni Mungu bado Hata kuinua Watu ni Mungu Ahsante Yesu kwa wema nazo fadhili zako Ndoa yenye amani huyu ni Mungu Kunipa furaha nyingi Ni Mungu bado Uwezo wa kuwa hapa hapa Ahsante Yesu Umekubali nifike hapa. Nikikumbuka Mungu Cha kukulipa Ulidhike ufurahi Hupungukiwi kitu Ni wewe Mungu Uliye mwanzo na mwisho Ninalo ombi moja Niimarishe Uyatumie maisha yangu Nikakupe na moyo wangu Utu na Mali Nitumie upendavyo. (Repeat chorus).

by Risuba


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist