SEMA KWELI By Jennifer Mgendi

Image By Mood Converter

lyrics SEMA KWELI By Jennifer Mgendi

Sema kweli, sema kweli
Sema kweli

Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Jamani mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape (Sema kweli)

Naomba mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape 

Yaani kusema kweli mi malaya
Kusema kweli sipendi mademu wabaya
Kusema kweli mi sipendi kuoga
Na sipandi jukwaani bila kuroga
Kusema kweli mi napenda kuhongwa
Na siwezi kulala bila ya kugonga

Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Jamani mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape (Sema kweli)

Naomba mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape 

Sawa nitasema yote ila kwanza weka silaha chini
Yaani kusema kweli Majizo na Chibu hawapendani
Mi nasema kweli msije kuniua 
Hebu kwanza nilegeze kamba

Kusema kweli Kiba kuimba anajua 
Na Uchebe bado mshamba
Kusema kweli Baba Levo kwa uchawa anastahili taji
Japo Nandi kapenda ila Nenga sio muoaji

Basi nasema ya mwisho msiniadhibu
Ruby bado anampenda Kusah na anapata taabu
Nasema ya mwisho msiniadhibu
Hasira za Konde Sala ila Paula akawa sababu

Basi wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Jamani mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape (Sema kweli)

Naomba mnifungue niondoke (Sema kweli)
Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli)
Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli)
Kama mnataka pesa semeni niwape 

Huyu dada alochana dera ndo anasasambua
Amelowesha kijora we anakibinua
Huyu dada alochana dera ndo anasasambua
Amelowesha kijora we anakibinua

We ukiinama unafua, ukiinuka kamua
Ukiinama unafua, ukiinuka

Mwanangu vipi vipi, vipi tena?
Umeagiza Kiroba sa mbona unataka opener?
Vipi vipi, vipi tena?
Umeagiza Kiroba sa mbona unataka opener?

Unajuaje kama anadanga sio kama unadanga naye
Umejuaje kama anawanga sio kama unawanga naye

Waaimba singeli anayetaka kiti 
Aseme nimsikie 
Makabila nishasimama mwambieni aje akalie
Aweke imani, ata hatuongei
Namwona boss Tale siku hizi amepanda bei
Hata sniper, we mendez hata hatuongei
Namwona Mose Kunambi siku hizi amepanda bei

Wanangu wanateleza, wanateleza..
Dula Tale anateleza ana
Valid mtu pisi anateleza, anateleza
Picha Omari anateleza, anateleza
Doni Fumbwe ah tia tia tia…

lyric by claudine

Leave a Reply

Your email address will not be published.