Sipiganagi by Martha Mwaipaja

Image By Mood Converter

lyrics by Sipiganagi by Martha Mwaipaja

Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na

Baba Mwenzio sishindinagi mwenyewe Ninashindiwa na

Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe

Mwenzio sishindani mwenyewe Mimi vita sijui

Mimi vita siwezi Asema nitulie atajibu

Kuna majira vita huja kwangu

Kuna majira watesi waliniinukia

Kuna majira nilitaka kupambana

Mwenyewe Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi

Wangu Ikaniambia mimi ni Baba yako

Usipigane mwenyewe mwanangu

Mwenzio sipiganagi mwenyewe

Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe

Ninashindiwa na Baba

Mwenzio vita nimekataa Ninapiganiwa na Baba

lyrics by claudine

Leave a Reply

Your email address will not be published.