Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

Sukari by Zuchu

Image By Mood Converter
Spread the love

lyrics for Sukari by Zuchu

Tena nikiizidisha 
Ananiambia koleza (Koleza)

Nikitaka kusitisha 
Ananiambia ongeza (Ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza 

Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa

Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

Yelele, yelele…

Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi

Baba chanja, baba chanja (Eeeh..)
Chukua vyote chukua (Eeeh..)
Vitafune nganja nganja (Eeeh..)
Chagua mwaya chagua (Kula)

Ujiboosti na karanga ee (Eeeh..)
Tuliza na kitumbua (Eeeh..)
Jihadhari na majanga wee
Usije ukaugua maana 

Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa

lyrics by Mfasha


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist