SWEETIE SWEETIE by ZABRON SINGERS

Image By Mood Converter

Lyrics for SWEETIE SWEETIE ZABRON SINGERS

Hatimaye ni leo
Ni siku yetu
Siku yetu muhimu
Harusi yetu
Uwepo wenu nyote eh eh
Kwetu ni kitu
Kwetu ninyi ni ndugu
Leo na keshoHarusi maua, ng’aring’ari wanapendeza
Leo ni furaha shangwe na furaha
Harusi mauwa, tabasamu suti na shera
Wacha tufurahi sote tufurahiSweetie sweetie sweetie
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My baby (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sweetie sweetie baby
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My love (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamojaSweetie sweetie sweetie
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My baby (leo hii)Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu rafiki yangu
Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu rafiki yanguNa wazazi wameona wakaturuhusu
Kwa furaha wakasema eh “Tumewabariki”
Na Mwenyezi Mahulana atatubariki
Tukazae na tulee eh
Watoto wazuriSweetie sweetie sweetie
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My baby (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sweetie sweetie baby
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My love (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamojaSweetie sweetie sweetie
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My baby (leo hii)Yandoa mengi mengi tupande nayo
Sweetie nitakuheshimu, uniheshimu
Mahaba motomoto yawe ni wimbo
Kwetu yawe waridi yakanukieWalikuepo, walitamani, nao wakafunga harusi
Wakaparangana haikuwezekana
Kama si nyinyi tusingefika hapa na ku furahi hivi
Na leo ni leo mambo sasa ni mamboSweetie sweetie sweetie
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My baby (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sweetie sweetie baby
(Haikuwa rahisi) Eh sweetie
(Tufike) My love (leo hii)
Nahapa tulipo
(Ndio siku yetu) Ipo
(Muhimu ya Harusi)Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja
Upendo naongeza nawe ongeza
Heshima na pandisha, tuwe pamojaNa tutakumbushana kukaa na Mungu
Familia ya Mungu hujaa upendo
Wema kwa ndugu wote wa pande zote
Tutapendwa na wote hata na Mungu

by Risuba

Leave a Reply

Your email address will not be published.