Uko Wapi by Ray C

Image By Mood Converter

Lyrics for Uko Wapi by Ray C

Uko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieNajauliza kila siku wapi pa kukutafuta
Ni miaka mingi sana hatujaonana
Napata shida sana
Nataka niwe nawe
Nakupataje pataje, nawe huonekani
Uko wapi, nieleze
Tafadhali niambie
Hata kwa barua pepe
Au simu ya mkononi
Roho yangu itulie
Roho yangu itulieUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieMoyo wangu unaniuma kwani kimya kimetanda
Ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo
Ningekufuata huko
Nikujulie hali
Niachane na mawazo ya kukuwaza wewe
Nakukuota wewe
Iko siku moja, moja, moja
Tutajaonana nawe
Mimi, mimi naweUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulieNionyeshe
Nikufuate
Angalau nikuone
Nikuone, nikuone
Nikuone, nikuoneUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie

by Risuba

Leave a Reply

Your email address will not be published.