Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

Uniteteaye by Eunice Njeri

Image By Mood Converter
Spread the love

lyrics for Uniteteaye by Eunice Njeri

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Unawafungua wote waliofungwa
Unawanyoshea mkono wanaozama eh
Wewe ni kimbilio kwa wote wanaokutafura eh
Nimekukimbilia kwako ndio salama eh

Wewe Mungu wa zama, u vilevile kama jana
Wewe Mungu wa zama, Yahweh haukati tamaa eh

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Mungu wa amani Mungu wa mapendo
Na uhai wewe ndiwe ngao
Shaloma Abba ooh
Mungu wangu wewe ushindi wangu

Ni nani atatuhukumu Na Yesu umefufuka eh
Mkono wa Mungu wa kuume, umeketi utuombee mmh
Ni nani atatuhukumu Na Yesu umefufuka eh
Mkono wa Mungu wa kuume, umeketi utuombee mmh

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh
Ni wewe, Mungu uniteteaye
Ni wewe, giza waitetemesha eeh

Umenitetea, Masihi naimba leo Baba
Umenitetea naimba leo baba
Umenitetea, umenitetea
Hakuna aliye nitetea ila wewe
Umenitetea, ukiniona mimi naimba imba leo
Umenitetea, sio kwa nguvu ama mamlaka
Umenitetea, wewe unaniwazia mema
Umenitetea, niache niimbe
Umenitetea, ni Yesu amenitetea
Umenitetea, hakuna mwingine, hakuna mwingine

Umenitetea, ukiniona mimi nikiimba leo
Umenitetea, eeh muovu hana neno la kusema
Umenitetea, ukisema nani apingane na wewe
Umenitetea, Yesu wee, Yesu weeh
Umenitetea, hakuna mwingine angeweza Yesu
Umenitetea, ayayaya mwambie
Umenitetea, tuendelee mwambie Yesu
Umenitetea

lyrics by claudine


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist