Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

YESU NITIE NGUVU – WILLIAM YILIMA

Image By Mood Converter
Spread the love

Lyrics for Yesu Nitie Nguvu by William Yilima

Yesu Nitie Nguvu by William Yilima

Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama . Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama . Yesu wewe nitie nguvu Baba Nimalize mwendo salama Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama . Eh Baba, eh Mungu wangu Nitie nguvu nimalize mwendo salama Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama . Nilikotoka ni mbali Niendako karibu kufika Nimalize mwendo wangu salama (Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama) . Yesu wee, pigana nao wanaopigana nami Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu Adui zangu wakitaka kupigana nami Njia yao iwe giza na utelezi Wee Baba, mwovu mimi akinijia Maisha yangu yafiche ubavuni mwako . Pigana nao wanaopigana nami Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu Adui zangu wakitaka kupigana nami Njia yao iwe giza na utelezi Mwovu mimi akinijia Maisha yangu yafiche ubavuni mwako Wengine walipochoka safarini Hakuwepo wakuwatia nguvu wakakata tamaa Yesu wee, nitie nguvu Nimalize mwendo salama Wengine walipojeruhiwa Hakuwepo wakuwafunga cheraha wakafa njiani Yesu wewe, nifunge cheraha nikifjeruhiwa Nimalize mwendo salama Wengine walipojaribiwa walishindwa stahimili Wakarudi nyuma Yesu wee, nitie nguvu Nimalize mwendo salama . Na mimi nimetoka mbali Nimepanda milima nimeruka makorongo Nimekanyaga miba nimekwepa mishale mingi Lakini bado sijafika Yesu wee nitie nguvu, Yesu wee nishike mkono Yesu wee, nitie nguvu Nimalize mwendo salama . Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama

lyrics by Jean Baptistingue


Spread the love

Leave a Reply

Your email address will not be published.

00:00
00:00
Empty Playlist